Bondia Francis Cheka Aachiwa Kutumikia Kifungo Nje

BONDIA Francis Cheka aliyehukumiwa kifungo cha miaka mitatu kwenda jela kwa kosa la kumpiga ngumi meneja wa baa yake, amebadilishiwa adhabu ya kifungo.Cheka amechiwa na kutoka gerezani na sasa anatakiwa kutumikia kifungo cha nje.
Bondia Francis Cheka Aachiwa Kutumikia Kifungo Nje Bondia Francis Cheka Aachiwa Kutumikia Kifungo Nje Reviewed by habari motto on 3:21 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.