Baada YaKichapo Kikali Haya Yamsibu !!

Afisa Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Jerry Muro
Katika hali isiyokuwa ya Kawaida Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Godfrey Nyange Kaburu ameungana na mashabiki wa timu ya Simba kumkebei mkurugenzi mkuu wa habari wa klabu ya Yanga Jery Muro kwa kumwita Jeny Muro mara baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0.

Mjumbe wa klabu ya Simba Iddi kajuna ndiye aliyekuwa wa kwanza kusema kuwa ni vyema Jeny muro ajitokeze kuzungumzia mchezo kama alivyofanya awali.hali hiyo imetokana na Jery kusema kuwa simba ni timu ndogo kwao na siyo watani wa jadi
Baada YaKichapo Kikali Haya Yamsibu !! Baada YaKichapo Kikali Haya Yamsibu !! Reviewed by habari motto on 5:12 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.