Maskini Amwagiwa Maji ya Moto na Mke wake Kisa Kipo Hapa! Daah Inatia Huruma Sana!

150313095826_mume_achomwa_kwa_kumkumbuka_marehemu_mkewe_512x288_bbc_nocreditKen Gregory anaishi Peterborough, Uingereza alikuwa akiishi na mke wake Teresa Gilbertso, lakini huyu alikuwa mke wa pili baada ya mke wake wa kwanza kufariki, ambaye alikuwa anaitwa Maureen.
Uamuzi wa Gregory kujipanga kwa ajili ya kwenda kwenye kaburi la Marehemu mke wake wa kwanza lilimuingiza kwenye tatizo ambalo huenda hakuwa amefikiria ukubwa wake.
150313095445_mume_achomwa_kwa_kumkumbuka_marehemu_mkewe_512x288_bbc_nocreditGregory alipanga kutembelea kaburi la Maureen ambaye ni mke wake wa kwanza aliyefariki, baada ya kuvutana kwa muda mrefu Teresa akaenda jikoni halafu akarudi akiwa amebeba bakuli la maji ya moto na kummwagia mumewe mgongoni.
150313100121__mume_aliyechomkwa_kwa_kumkumbuka_marehemu_mke_wake__512x288_bbc_nocredit
Wanandoa hao walikutana miaka 7 iliyopita, baada ya tukio hilo mwanamke huyo kwa sasa anakabiliwa na mashtaka ya kumjeruhi mumewe.
Maskini Amwagiwa Maji ya Moto na Mke wake Kisa Kipo Hapa! Daah Inatia Huruma Sana! Maskini Amwagiwa Maji ya Moto na Mke wake Kisa Kipo Hapa! Daah Inatia Huruma Sana! Reviewed by habari motto on 6:53 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.