Simba Yasambaza Kichapo Mbeya

Simba imezinduka kutoka kwenye kipigo cha 1-0 cha Stand United wiki iliyopita mjini na jioni ya leo imeichapa mabao 5-0 Prison ya Mbeya.
Mabao ya Simba yalifungwa na mshambuliaji chipkizi, Ibrahim Hajibu aliyefunga mabao matatu kipindi cha kwanza katika dk15,21 na 24 na Imannuel Okwi dk ya 75 na 84


Simba itatimiza pointi 23,baada ya mechi 16,ingawa inabaki nafasi yanne nyuma ya Kagera Sugar yenye pointi 24,Azam Fc point 27 na Yanga 31
Simba Yasambaza Kichapo Mbeya Simba Yasambaza Kichapo Mbeya Reviewed by habari motto on 10:04 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.