Yanayojiri Msiba Wa AK 47 Ndugu Wa Josee Chameleone

Marehemu Emmanuel Mayanja Hummertone (AK 47)


MAYANJA
AK47’s Dad
 Kijana wa mwisho katikafamila ya Mayanja amabaye pia ni mdogo wa msanii josse chameleone anategemewa kuzikwa leo katika makaburi ya familia yao, eneo laBusato Kalangalo karibia na Barabara ya Mityana Uganda.
Kaka Mkbwa wa familia Jose Chameleone aliwasilisha ratiba ya mazishi baada ya ibada ya maziko kufanyika hapo jana kanisa katoliki la  Lweza

Ndugu jamaaa na marafiki wako kwenye harakati za kumtakia safari njema ndugu yetu Emmanuel Mayanja 

Mungu ailaze pema Roho ya marehemu

AK47 funeral service2 AK47 funeral serice4 AK-47-MEMORIAL AK-47-MEMORIAL AK-47-MEMORIAL
AK47 funeral service 
Yanayojiri Msiba Wa AK 47 Ndugu Wa Josee Chameleone Yanayojiri Msiba Wa AK 47 Ndugu Wa Josee Chameleone Reviewed by habari motto on 11:16 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.