Alichokiandika Rais MUGABE Kuhusu Mauaji Ya Kikatili Yanayoendelea AFRIKA KUSINI

"South Africans will kick down a statue of dead white man,but won't even attempt to slap a live one. Yet they can stone to death a black man simply because he's a foreigner."-- Comrade Robert Mugabe."
Tafsiri:
Raia wa Afrika Kusini wanaweza kuiangusha sanamu ya kumbukumbu ya mzungu marehemu nchini humo,lakini hawana uthubutu kumpiga makofi mzungu yeyote aliye hai. Lakini hao hao wako radhi kumuua kwa mawe mtu mweusi mwenzao kwa kwasababu tu siyo raia wa nchi hiyo"-Robert Mugabe
Alichokiandika Rais MUGABE Kuhusu Mauaji Ya Kikatili Yanayoendelea AFRIKA KUSINI Alichokiandika Rais MUGABE Kuhusu Mauaji Ya Kikatili Yanayoendelea AFRIKA KUSINI Reviewed by habari motto on 9:05 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.