Kajala Ajuta. Atamani Siku Zirudi Nyuma

Staa  mrembo  wa Bongo Movies, Kajala Masanja  kwa mara ya kwanza  ameibuka  na kutoa ya moyoni kuwa anatamani kulipa shilingi milioni 13 alizolipiwa na staa mwenzake  Wema Sepetu kama faini ili asiende jela miaka saba.

Akizungumza na gazeti la Amani, Kajala  alisema  kuwa huwa anaumia sana kila anapokumbuka kuwa alipewa kiasi hicho chapesa ingawa uwezo wa kulipa anao.

Huwa  nateseka  sana kila ninapokumbuka kuwa nilitolewa 13 japokuwa naaamini alitoka kwa moyo mmoja,kinachoniuma muhusika anaiongelea  kila siku tena kwa mabaya,” alisema Kajala
Kajala Ajuta. Atamani Siku Zirudi Nyuma Kajala Ajuta. Atamani Siku Zirudi Nyuma Reviewed by habari motto on 11:37 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.