Shirika la ndege ya Air India limewasimamisha kazi marubani wake wawili baada ya kudaiwa kupigana ndani ya chumba cha Marubani kwenye ndege hiyo iliyokua na safari ya kutokea Delhi kwenda Jaipur.
Hii ishu imetokea wakati headlines za ndege 2015 zikiwa kwenye wiki yake nyingine tena toka ndege ya Ujerumani iangushwe kwa makusudi na Rubani Msaidizi March 24 2015 ambaye alimfungia nje ya chumba cha Marubani, Rubani mkuu aliyekua ametoka nje kwa wakati huo.
Na Millad Ayo
Marubani Wazichapa Ndania Ya Ndege
Reviewed by habari motto
on
5:11 AM
Rating: