Aliyemfanyia kitendo kibaya Cavani afungiwa Copa America

Mlinzi wa Chile Gonzalo Jara amefungiwa kucheza mechi zilizobaki za Copa America baada ya kumshika makalio mshambuliaji wa Uruguay Edinson Cavani.
Jara alimchapa Cavani kofi laini usoni kabla ya kumtia hasira mshambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain na kumfanya apewe kadi za njano, huku Jara akiondika bila kuadhibiwa.
Jara akijidondosha makusudi na hivyo kusababisha Cavani kulimwa kadi nyekundu kwenye mechi hiyo
Jara akijidondosha makusudi na hivyo kusababisha Cavani kulimwa kadi nyekundu kwenye mechi hiyo
Hata hivyo, akiwa mchezaji wa zamani wa West Brom, Brighton na Nottingham Forest aliyesaidia nchi mwenyeji kutinga nusu fainali, wakati Chile ikiibuka na ushindi wa 1-0, atakosa mechi zinazofuata.
Aliyemfanyia kitendo kibaya Cavani afungiwa Copa America Aliyemfanyia kitendo kibaya Cavani afungiwa Copa America Reviewed by habari motto on 9:37 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.