Huyu Ndiye Msichana Mzuri Zaidi Afrika Magharibi

juliet10juliet1

Jarida la burudani la A-Listers limemtaja star wa movie Juliet Ibrahim kutoka Ghana kuwa ndiye mwanamke mrembo zaidi Afrika magharibi.Juliet ambaye pia anafahamika kama Juliet Safo ni Mghana aliyechanganyika kutoka kwa baba mwenye asili ya Lebanon pamoja na mama mwenye asili ya Ghana na Liberia. Kati ya filamu alizowahi kucheza ni pamoja na Crime to Christ (2005), Honor My Will (2008), “Marriage of sorrows”(2009) na nyingine nyingi.
juliet10
Mtandao wa Naija Gists wa Nigeria umeandika habari hii lakini mwandishi ameonekana kutoridhishwa sana na kuhoji “Do you believe Juliet Ibrahim is indeed the most beautiful woman in West Africa abi dey wan say the most beautiful woman in Ghana?”
juliet7
juliet2
Juliet3 j12
juliet5
juliet8
juliet9


juliet4
Huyu Ndiye Msichana Mzuri Zaidi Afrika Magharibi Huyu Ndiye Msichana Mzuri Zaidi Afrika Magharibi Reviewed by habari motto on 7:29 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.