Wananchi wa Kenya sasa wataweza kununua maji safi na salama kwa kutumia kadi maalum kupitia mitambo kama ya ATM.
Kwa muda mrefu wananchi wa Kenya walikuwa wakitegemea maji kutoka kwa wachotaji binafsi ambayo uhakika wake wa usafi na usalama haukuwa na hakika. Wananchi wanaweza kununua lita ishirini kwa senti hamsini. Mitambo minne imewekwa katika maeneo tofauti jijini Nairobi.
Kenya yazindua 'ATM' za maji
Reviewed by habari motto
on
10:03 AM
Rating:
