Eddy kenzo ni msanii pekee kutoka Afrika Mashariki ambae ameshinda Tuzo ya BET.
Eddy Kenzo alikuwa katika kipengele cha Viewer’s Choice Best New International Artist’ cha BET Awards 2015, alikuwa akichuana na assper Nyovest wa Afrika Kusini, Mz Vee wa Ghana na wasanii wa Uingereza, George The Poet, MIC Lowry na Novelist.
Akitoa shukrani, ameandika katika mtandao wa facebook ameandika:
"Before I say anything let me dedicate this award to all Ugandans wherever you are in the world, it has been a long journey, it’s the first of its kind in East Africa. this is for Uganda, Uganda really needed this. To all my fans all over the world thanks for the support and the voting May God bless you. Am coming home God is the greatest".

Msanii Pekee Kutoka East Afrika alieshinda Tuzo ya BET AWARDS 2015.
Reviewed by habari motto
on
11:07 PM
Rating: