Conrad Mtenga aliyekuwa mfanyakazi wa tume ya kuthibiti na kupambana na rushwa Tanzania (PCCB) amepata ajali na kufariki dunia akiwa njiani kuelekea mkoani Njombe kuchukua fomu ya kugombea Ubunge jimbo la Njombe.Ajali hiyo ilihusisha gari lake aina ya land cruiser na lory aina ya scania yaliuogongana uso kwa uso.
Familia ya marehemu mke na watoto wako kwenye chumba cha wagojwa mautihuti ila ,amefariki yeye mwenyewe na kampen manager wake
Habari motto inawaombea waliojuruhiwa wapone mapema na wale waliofariki wapumzike kwa amani.
Ajali Yaua Shujaa Wa PCCB
Reviewed by habari motto
on
9:00 AM
Rating:
