Ni july 17 ambapo Diamond Platnumz, Neyo, Jhene, Bucie, P Square na wasani wengine waliungana na MTV Base kwenye mkutano wa waandishi wa habari kutoka media mbalimbali uliofanyika Durban Afrika Kusini.
Hapa nimekuwekea picha kadhaa ushuhudie jinsi wasanii mbalimbali wakiwa katika mkutano huo wa waandishi wa habari.
Neyo akijibu swali la mwandishi leo kwenye Press Conference.
Diamond Platnumz.
NA MILLAD AYO
Diamond aungana na wasanii wa Afrika kwenye press conference ya MTV Base
Reviewed by habari motto
on
6:29 AM
Rating: