MTANGAZAJI WA ITV GODWIN GONDWE ACHUKUWA FOMU KUMVAA KIWIA JIMBO LA ILEMELA.

Naibu katibu wa UWT Grace Shindika akimkabidhi Mhadhiri wa Chuo Kikuu Tumaini na Mwanahabari Mwandamizi ITV/Radio One Godwin Gondwe fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Ilemela. Tunawaomba sala zenu, maombi na msahada wa hali na mali ili tufuke.

 October 25 2015 ni siku ya Uchaguzi Mkuu ambapo Watanzania watachagua Rais, Wabunge na Madiwani.. sababu hiyo pekeyake inatosha kutufanya tusikwepe kabisa kukutana na stori za kisiasa Tanzania !!

Idadi ya Wanahabari waliotangaza Kugombea Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali Tanzania imezidi kuongezeka, tumesikia kuhusu wengi ikiwemo mmoja ya Wanahabari wakongwe Tanzania, Godwin Gondwe ambaye ametangaza kugombea Ubunge wa Jimbo la Ilemela Mwanza.
MTANGAZAJI WA ITV GODWIN GONDWE ACHUKUWA FOMU KUMVAA KIWIA JIMBO LA ILEMELA. MTANGAZAJI WA ITV GODWIN GONDWE ACHUKUWA FOMU KUMVAA KIWIA JIMBO LA ILEMELA. Reviewed by habari motto on 6:25 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.