Nasari Ashiriki Ujenzi Wa Daraja

Mbunge Nassari akishiki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la kwa Pole.

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akikabidhi mifuko 50 ya saruji ,vioande 30 vya nondo pamoja na tanki la maji kwa ajili ya Choo cha soko la Ndizi .

Ujenzi ukiendelea katika eneo la Ka Pole.

Wananchi katika jimbo la Arumeru Mashariki wakishiriki katika shughuli za Ujenzi wa daraja la Kwa Pole ambalo limekuwa likitumiwa na kina mama hasa wauzaji wa Ndizi.

Ramani ya Ujenzi wa Daraja hilo.
Nassari akitizama ujenzi unavyoendelea.
Mbunge Nassari akizungumza na wafanya biashara katika soko la Kwa Pole mara baada ya kutembelea eneo la Ujenzi wa daraja unavyoendelea.katika shughuli za Ujenzi wa daraja hilo wananchi wamejitolea kufanya kazi hiyo bila ya malipo na kwamba anaye lipwa ni mhandisi pekee.kazi hiyo inataraji kumalizika ndani ya siku 14.

Na Dixon Busagaga wa Globu aya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Nasari Ashiriki Ujenzi Wa Daraja Nasari Ashiriki Ujenzi Wa Daraja Reviewed by habari motto on 5:00 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.