Picha: Wema Sepetu Akichukua Fomu za Ubunge Mkoani Singida

Hizi ni baadhi ya picha za staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu akiwa na team yake alipokuwa mkoani Singida akichukua fomu kwenye ofisi za chama cha mapinduzi (CCM).

Wema anawania Ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida kupitia jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ya chama hicho.
Picha: Wema Sepetu Akichukua Fomu za Ubunge Mkoani Singida Picha: Wema Sepetu Akichukua Fomu za Ubunge Mkoani Singida Reviewed by habari motto on 7:02 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.