Mahojiano aliyoyafanya Banza na Global TV Online 2014.
Staa wa Muziki wa Dansi Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ amefariki dunia mchana huu baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kaka wa marehemu aitwaye Hamis amethibisha msiba huo.
Kwa mujibu wa ndugu wa marehemu, Banza alikuwa anasumbuliwa na fangasi waliokuwa wanamshambulia kichwani (ubongo) na shingoni.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN
Banza Stone wakati akifayiwa mahojiano na Global TV Online
BOFYA HAPA CHINI UONE VIDEO YA WASANII WA TANZANIA WAKIINGIZWA FREEMASON LIVE
BREAKING NEWS!! MSANII BANZA STONE KUZIKWA KESHO DAR
Reviewed by habari motto
on
7:01 AM
Rating:
