Wema Sepetu Apigwa CHINI Kura za Maoni Ubunge wa viti Maalum Singida


Msanii  wa  Filamu  za  kibongo  anayeongoza  kwa  urembo  ndani  ya  tasnia hiyo, Wema Abraham Sepetu, aliyekuwa anagombea Ubunge wa Viti Maalum jimbo la Singida amebwagwa chini baada ya kupata kura 90 tu katika uchaguzi huo. 

Mgawanyo wa kura ulikuwa  hivi;
1. Aysharose Mattembe (311)
2. Martha Mlata(235)
3. Diana Chilolo(182)
4. Wema Sepetu(90)
 
Baada  ya  matokeo  hayo, Lulu  Michael  amemtia  moyo  Wema  Sepetu  kwa  Kuandika  ujumbe  huu;
 
Kuna matokeo ya aina 3 
>>Kushinda
>>Kushindwa
>>Kudroo. 
  
Mpka hapa ulipofika Leo umethubutu kitu ambacho wanawake wengi ni waoga kujaribu wewe ni mshindi Dada yawezeka Kuna kingine zaidi Mungu amekuandalia 
Wema Sepetu Apigwa CHINI Kura za Maoni Ubunge wa viti Maalum Singida Wema Sepetu Apigwa CHINI Kura za Maoni Ubunge wa viti Maalum Singida Reviewed by habari motto on 7:09 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.