Rais wa US Barack Obama akiwa amekaa na bibi yake, Mama Sarah (kushoto) na dada yake (mtoto wa baba yake) Auma Obama (kulia), wakati walipokuwa wamekaa kama wanafamilia huko jijini Nairobi, Kenya, leo Julai 24, 2015. Rais Obama aliwasili Kenya leo jioni akitokea Marekani, ikiwa ni ni mara yake ya kwanza kufika nchini humo tangu alipochaguliwa kuwa rais, nchini ambayo ndio asili ya baba yake mzazi, marehemu Hussein Obama.
Cheki picha hii ikimuonesha Rais Obma akiwa amekaa na bibi yake pamoja na dada yake
Reviewed by habari motto
on
7:13 AM
Rating: