Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amepiga marufuku mikutano ya wapinzani ya kushukuru wananchi. Kasema mtu aliyeshindwa atashukuru nini kama siyo kuleta vurugu?
Kaonya wakuu wa mikoa na polisi watakaotoa vibali watashughulikiwa bila huruma
Mh. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Kupiga Marufuku Mikutano ya Wapinzani Kushukuru Wananchi ni Sahihi?
Reviewed by habari motto
on
3:18 PM
Rating: 5