Mnyika na Zitto walivyopiga usafi majimboni kwao


Kwa kusafisha maeneo mbalimbali nchini leo iamshe ari na desturi ya kuhakikisha tunatunza usafi. Na usafi huu uondishe pia uozo kama rushwa nk ambao umekithiri katika taifa letu. 

Niliweza kushirikiana na madiwani, viongozi na wananchi kufanya usafi katika sehemu mbalimbali za kata na jimbo letu la Kibamba zikiwemo shule, masoko nk



Ufyekaji Zahanati ya Rusimbi, kata ya Rusimbi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji. Siku ya Uhuru wa Tanganyika na siku ya Usafi kwa agizo la Mkuu wa Nchi....
Mnyika na Zitto walivyopiga usafi majimboni kwao Mnyika na Zitto walivyopiga usafi majimboni kwao Reviewed by habari motto on 5:40 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.