Ikiwa leo Tanzania imeingia katika headlines za usafi Dec 9 badala ya kusheherekea sikukuu ya Uhuru, sasa Rais John Pombe Magufuli kaandika hizi sentensi kupitia ukurasa wake wa twitter.
‘Watanzania wenzangu ninawapongeza kujumuika nami kwa kuadhimisha siku ya Uhuru na Jamhuri.Nimefurahi na nimeguswa sana mlivyojitokeza.1/2′>>>Dk.John Pombe Magufuli
‘Tumeshiriki kwa wingi wetu siku hii muhimu kwa kufanya kazi katika maeneo mbalimbali. Uhuru na Kazi, Hapa Kazi Tu. Mungu Ibariki Tanzania.2/2′>>>Dk.John Pombe Magufuli
Sentensi 3 za Rais MAGUFULI baada ya kukamilisha kwa shughuli ya usafi Dar
Reviewed by habari motto
on
5:42 PM
Rating: