Hizi Ni Nchi Zenye Wanawake Wazuri Zaidi Duniani



Asikwambie mtu WANAWAKE ni miongoni mwa vitu vilivyo umbwa na Mungu ambavyo ni vizuri sana,Na vinabaki kuwa vizuri hata kama vikienda wapi..Hata hivyo kwa nchi nyingine wanavuka mipaka na hata kuwa kama MALAIKA!! na kama huamini We tembelea nchi hizi tu utakubali tu...!!! 


Sweden

Swedeni ndiyo nchi inayochukuliwa kuwa ndiyo nchi yenye watu WAZURI naposema wazuri namaanisha WANAWAKE na WANAUME KWA DUNIA NZIMA...

Ukikutana na mwanamke wa kutoka Sweedeni waweza kusema ni malaika kumbe ni binadamu tu.Ni warefu, macho ya blue nyele za kaki,wako smart sana na wako friendly..nani nchi yenye wasichana wenye AKILI SANA DUNIANI LOL BRESSED!



Argentina



Ukraine



Russia



Bulgaria

Hii nayo ni miongoni mwa nchi inayopatikana mashariki mwa ulaya..yenye wasichana warembo sana na wembamba kidogo..wanapenda kutabasamu na wanapenda sana vimichezomichezo hivi..wachangamfu inshort..






Thailand

Thailand inaweza kufahamika kwa utamaduni wake,milazake safi pia wana ukarimu sana.Sio hayo tu bali pia wasichana wake ni wazuri sana na wanaaibu nyingi..lakini ni wazuri na wanayajua mapenzi wakisha kuzoea wako romantiki sana mhhhh...haya wanaopenda wasichana wenye aibu nendeni thailand..



Netherlands

Wa dachi wanafahamika sana kwa upole na urafiki,hata hivyo wanafahamika vizuri pia kwa kuwa na wasichana walefu na wazuri sana..Linapokuja swala la kuwa na wasichana WAKARIMU basi hapo umefika ...



Lebanon

ulimwengu wa kiarabu na wasichana wazuri vinaenda sambamba sana..Na linapokuja suala la wasichana wazuri ,basi utawapata wengi huko Lebanon,kama hawatakukamata kwa maumbo namba nane basi macho yao mazuri ni siraha tosha kabisaa hahahaaaa..



India

Hivi unawezaje kumalizia list yote bila kuiweka india ndani yake..unaweza kusababisha maandamano ya watu kwenye ofisi zetu wakipinga hii list hhahahaaaa..

Uzuri wa wasichana wa India sio tu kuwa ni warembo bali pia wana maadili ya KIDINI sana.
Hizi Ni Nchi Zenye Wanawake Wazuri Zaidi Duniani Hizi Ni Nchi Zenye Wanawake Wazuri Zaidi Duniani Reviewed by habari motto on 8:57 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.