Breaking News: Baba mzazi wa Dully Sykes mzee Abby Sykes Afariki Dunia

Buriani:Baba mzazi wa msanii wa kizazi kipya nchini Dully Sykes Mzee Abby Sykes amefariki dunia leo katika Hospitali ya Muhumbili

Mwenyezi mungu amempenda zaidi tumpe pole Msanii Dully Sykes na tumuombee babayeke apumzike mahali pema peponi

R.I.P Mzee Sykes
Breaking News: Baba mzazi wa Dully Sykes mzee Abby Sykes Afariki Dunia Breaking News: Baba mzazi wa Dully Sykes mzee Abby Sykes Afariki Dunia Reviewed by habari motto on 8:15 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.