Ni nyimbo ya mwanadada toka kenya Victoria Kimani ambayo kawashirikisha
mastaa wa Tanzania Ommy Dimpoz na Diamond
Wakati tukisubiria video yao, wametutengenezea video ya mashairi
iliyoambatana na hii single ya ‘prokoto’ kwa wale tunaopenda kujua
kimeimbwa nini.
VICTORIA KIMANI FT DIMOND PLATINUMS& OMMY DIMPOZ-PROKOTO
Reviewed by habari motto
on
9:25 AM
Rating: 5