Baada ya kukatika kwa umeme majira
ya saa moja na dakika shirini na tatu na kusababisha karibu mikoa yote
ambayo imeunganishwa na Gridi ya taifa kukosa nishati ya umeme na
kusimamisha shughuli za bunge ikiwemo zoezi la upigaji wa kura ya bajeti
ya serikali, mkurugenzi mtendaji wa shirika la umeme nchini Tanesco
mhandisi Felchesim Mramba ametoa afafanuzi juu ya kukatika huko kwa
umeme na kubainisha kuwa mafundi wa shirika hilo wanaendelea kufanya
uchunguzi nini kimesababisha tatizo la kukatika kwa umeme na kusababisha
usumbufu kwa wateja wa Tanesco.
UFAFANUZI UKO HAPA HAPAA
UFAFANUZI UKO HAPA HAPAA
SABABU ZA KUIWEKA NCHI GIZANI
Reviewed by habari motto
on
1:50 PM
Rating:
![SABABU ZA KUIWEKA NCHI GIZANI](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhkZXRix_reIa_v3qI8v0yZtdllK1xAJ_SdNyvNZuLGD4A5Gn33maVdcIOT8wUOZpDibZzXTE5sa_Kj09fg2hyphenhyphenNynuX36-Dc2whimHkU1tLjT7aQt_IidMY0cpB1zONnCskxI-hpz2e630z/s72-c/images.jpg)