U.K MAYOR FROM AFRICA


Baada ya Raisi Barack Obama mzaliwa wa kenya kushika uraisi nchini marekani sasa ni zamu ya mwanamke
bibi  Elizabeth Kangethe  amevunja mipaka ya siasa baada ya kuchaguliwa kuwa kiongozi waa kisiasa kama Mayor wa Barking and Dagenham kwa mwaka 2014-2015 huko Uingereza..Elizabeth Kangethe alizaliwa  Ngewa village, Githunguri katika county ya  Kiambu ,




U.K MAYOR FROM AFRICA U.K MAYOR FROM AFRICA Reviewed by habari motto on 12:55 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.