HALI TETE, WAZIRI ALAZIMIKA KUHAIRISHA MKUTANO.. ADAI FUJO ZINACHANGIWA NA CHAMA CHA SIASA


Gari lililombeba Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla, likilindwa na polisi lililopokuwa linaondoka baada mkutano wa hadhara kuvunjika kulikosababishwa na vurugu ambazo waziri alidai kuwa zilipangwa kwamakusudi na wafuasi pamoja na viongozi wa Chadema waliokuwa wakirumbana na viongozi wa CCM, katika Kata ya Goba, Kinondoni, Dar es Salaam jana. Makalla alikuwa katika ziara ya kukagua miradi ya maji katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. 
PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
HALI TETE, WAZIRI ALAZIMIKA KUHAIRISHA MKUTANO.. ADAI FUJO ZINACHANGIWA NA CHAMA CHA SIASA HALI TETE, WAZIRI ALAZIMIKA KUHAIRISHA MKUTANO.. ADAI FUJO ZINACHANGIWA NA CHAMA CHA  SIASA Reviewed by habari motto on 6:56 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.