HUYU NDIYE RAISI MWENYE UTAJIRI ZAIDI DUNIANI




Anajulikana kwa jina la   Carlos Slim Helu mwenye utajiri wenye thama ya dola za kimarekani 
$69 billion, anamiliki magari ya kifahari pamoja na nyumba za bei ghali zikiwemo hata ndege binafsi na yatch zifuatazo ni mali anazomiliki pamoja na manyumba na magari na vitu vyenye thamanii 

  Ana nyumba zaidi ya 20 katika maeneo tofauti ikiwamo moja yenye thamani ya shilingi $950 millioni za kimarekani  

Ana ndege  58 zote zikiwa ni mali zake binafsii picha hizi hapa 




Ndani ya ndege hizo  58 kuna 15 helicopterszingine zilizobaki ni ndege 43 


 

Na hizo ni moja ya magari anayomiliki yakiwa na thamani ya hali ya juu katika soko la dunia upande wa magarii 
Pia ana Yacht 4




 
Ndani ya hizi yatch kuna kila kitu hadi swiming pool 


 




Msahara wa Raisi wa Russia wenye thamni ya   $115,000 dola za kimarekani, ambayo ni sawa na mara sita ya saa anayomiliki tajiri huyu yenye thamani ya dola za kimarekani  $700,000.
HUYU NDIYE RAISI MWENYE UTAJIRI ZAIDI DUNIANI HUYU NDIYE RAISI MWENYE UTAJIRI ZAIDI DUNIANI Reviewed by habari motto on 4:42 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.