Rais
wa Burundi, Piere Nkurunzinza, akiwasili Uwanja wa Prince Louis
Rwegasira, wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 52, ya Uhuru wa
nchini hiyo zilizofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita, Bujumbura
Burundi.
Rais wa Burundi, Piere Nkurunzinza, akikagua gwaride....
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi6oexuYeSRA2wnV-jeEGbQ7TzQVh-_vsOHyOeb22d4vfNsPOLj-J5Zm-XFhE4jJm78bJYhJLkwkPz53CDzto-IbBPoDH64Uzf6n3uKqCz7mTmQZp7_ByzJTDPNMiocktNxA1hfCn34zyk/s1600/xcccc.jpg)
Askari wakishuka kwa Parachuti uwanjani hapo......
Vijana wa Michezo wakipita kwa maandamano...
Walemavu wakipita mbele ya jukwaa kuu kwa maandamano....
Maandamano.....
Baadhi ya watangazaji wakiwajibika wakati wa sherehe hizo...
Askari wakipita mbele ya jukwaa kuu kwa mwendo wa haraka....
Askari wakishuka katika gari likiwa katika mwendo kasi.....
Burudani kutoka kwa wasanii wa nchi hiyo......
PICHA NA MATUKIO YA SHEREHE ZA MIAKA 52 YA UHURU NCHINI BURUNDI..
Reviewed by habari motto
on
4:47 PM
Rating:
![PICHA NA MATUKIO YA SHEREHE ZA MIAKA 52 YA UHURU NCHINI BURUNDI..](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgsxwI2ztEZnusDJQgwr_mUinwYpebtgkNwKTw3fhsyHKzFv6EhQAtpSrls1gJ6_mIzILqdS2LXPByymsBznCJbqd3j75XdQzQBeMh0ok8tuYRxtF2sIEdC0sRc2g2tyA-RkzPr6tJgTm0/s72-c/IMG_2091.jpg)