![]() |
Adlah Bint Abdullah Bin Abdel Azizi Al Saoud |
NCHI YA SAUDIA ARABIA NI NCHI YENYE MISINGI YA DINI YA KIISLAM. MISINGI HIYO INAKANDAMIZA JINSIA YA WANAWAKE NKATIKA NCHI HIYO.
MWANA WA MFAME WA SAUDI ARABIA AME KUWA NI CHACHU KUTOKANA NA JUHUDI ZAKE ZA KUWAKOMBOA WANAWAKE KUTOKA KWENYE MISINGI HIYO YA UKANDAMIZAJI
Adlah bint Abdullah bin abdel azizi al Saoud ni mwanamke wa kisasa, mpigania haki za wanawake.
alihojiwa na gazete la ufaransa liitwalo "le firago" ambapo alitoa wamazo yake kuhusiana na ndoa, hijab, kazi wa wanawake na mitandao ya kijamii
abdallah aliona kuna mapungufu kwenye swala la ndoa kwa wanawake wenye umri mdogo
kitu kilichomfanya ashinikize uongozi kupanga sheria na taratibu ikiwemo umri wa mwanamke kuolewa
pia anaona hakuna tatizo la mwanamke kufanya kazi na mwanaume bega kwa bega ikiwa kuna heshima juu yao
HAYA NDIYO MAWAZO YA MKOMBOZI WA WANAWAKE KATIKA JAMII YA KIISLAM
Reviewed by habari motto
on
7:56 AM
Rating:
![HAYA NDIYO MAWAZO YA MKOMBOZI WA WANAWAKE KATIKA JAMII YA KIISLAM](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjqyvP7eB17BzMJ8x6A9ewR1f8q0m5QwcZBg-ibze13belLqkV3dWnWg2yAzwv_5TrVdDBt1NkpK0ouxcME4uQgq7xaKNoRzsAtUoC29tDDlFy5zgXXLgaIUNQCieIynG0imxWqYrmgpFxC/s72-c/saaas.jpg)