
Mtoto wa miaka 4 ameripotiwa na madaktari kupooza baada ya kupata maumivu makali yaliyosababishwa na kubakwa.
Mbakaji huyo 46 alipandishwa kizimbani katika mahakama huko nakuru, na kukana mashtaka na kuachiliwa kwa dhamana ya 200,000 kenyan shillings
Mshitakiwa huyo Vicent Kipkirui Sang alimbaka mtoto huyo tarehe 2 mwezi wa saba katika kijiji cha Mauche eneo la Njoro.
mtoto huyo aliyekuwa akicheza na wenzake ndipo mshenzi huyo alipomwingiza nyumbani kwake na kumfanyia vitendo hivyo vya kinyama
Baada ya kukosa nguvu na kushidwa kutembea na maumivu rafiki zake walimweleza mama yake. wananchi wenye hasira kali walishushia kipigo kikali mtuhumiwa kabla ya polisi kuwasili na kumuweka chini ya ulinzi mbakaji huyo
alitibiwa na kuanza kuhojiwa
KWELI DUNIA IMEKWISHA.... ABAKA MTOTO MWENYE MIAKA 4
Reviewed by habari motto
on
12:25 PM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
12:25 PM
Rating: