Results for "KENYA"

Ni Raila Odinga! Hongereni NASA

6:46 AM





Muungano wa vyama vya upinzani nchini Kenya, NASA, umemteua Mhe. Raila Odinga kuwa mgombea Urais na Kalonzo Musyoka kuwa Naibu Rais. Mwezi uliopita nilipokuwa Nairobi nilikutana na kuzungumza na Mhe. Raila kwa Dakika kadhaa kwenye Mkutano wa Vyama vya Kiliberali barani Afrika . Lakini nilipata fursa ya kushiriki naye katika kundi kazi la viongozi wachache kwa siku nzima. Raila alinihakikishia kuwa NASA haitavunjika, leo nashuhudia kauli yake ikiwa ukweli mtupu. NASA has spoken it clearly, it is Raila Odinga! Hongereni NASA!
Ni Raila Odinga! Hongereni NASA Ni Raila Odinga! Hongereni NASA Reviewed by habari motto on 6:46 AM Rating: 5

Baraza la Mawaziri Kenya, labadilishwa

7:02 AM
Rais wa Kenya amefanya mabadiliko katika Baraza lake la Mawaziri, na kuwaacha wote wizara zao zilizotajwa katika ufisadi.
Rais Uhuru Kenyatta amechukua hatua hiyo siku moja tu baada ya kutangaza ufisadi kuwa tishio kwa usalama wa kitaifa. Rais ameahidi kufanya mabadiliko zaidi katika afisi yake hivi karibuni.
Katika hotuba ilioonyeshwa kwa njia ya Televisheni,Rais Uhuru Kenyatta ameongeza idadi ya wizara kutoka kumi na tisa hadi ishirini na kuongeza idara mpya chini ya wizara mbalimbali katika kile alichosema ni kusaidia mawaziri kutekeleza majukumu yao bora zaidi.
Idara hizo zimeongezwa kutoka ishirini na sita hadi arobaini na moja.
Rais Kenyatta amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri baada ya mawaziri sita kulazimika kujiondoa kutokana na wizara walizosimamia kuhusishwa na ufisadi huku wawili kati yao wakikabiliwa na kesi mahakamani.
Ni Mabadiliko yaliyotarajiwa hasa baada ya hatua ya aliyekuwa waziri wa Ugatuzi Anne Waiguru kujihuzulu mwishoni mwa juma kutokana na kile alichosema ni ushauri wa daktari wake- baada ya usumbufu aliopata wizara yake ilipohusishwa na sakata kadhaa za ufisadi.
Kwa mujibu wa katiba idadi ya mawaziri inapaswa kuwa kati ya kumi na wanne na ishirini na wawili- na hivyo kujiuzulu kwake kulisababisha idadi hiyo kupungua hadi kumi na tatu.
Baraza jipya la mawaziri linajumuisha wanawake wanne na wanaume kumi na sita.
Baadhi ya mawaziri wamesalia katika nafasi zao huku wengine wapya wakiteuliwa kuchukua nafasi za mawaziri waliohusishwa na ufisadi.
Hatua itakayofuata sasa ni kwa mawaziri wapya kuchunguzwa na kamati ya bunge kabla ya kuidhinishwa kikamilifu.
Serikali ya Rais Uhuru Kenyatta imekuwa ikikabiliwa na changamo ya ufisadi katika wizara kadhaa na kumekuwepo shinikizo sio tu kutoka kwa wananchi lakini pia kutoka kwa mashirika ya kijamii,viongozi wa upinzani na hata mabalozi wa nchi za kigeni kutaka hatua zichukuliwe.
Baraza la Mawaziri Kenya, labadilishwa Baraza la Mawaziri Kenya, labadilishwa Reviewed by habari motto on 7:02 AM Rating: 5

Kuwa Wa Kwanza Kuiona Remix Ya Sura Yako; SAUT SOL Ft Iyanya

2:30 PM
Sautisol
Hii ni remix ya  wimbo "sura yako" ya wasanii SAUT SOL  wakiwa wamefanya na Msanii IYANYA kutoka Nigeria. ISIKIE HAPA HAP AA, jUST CLICK pLaY HAPO chinii
Kuwa Wa Kwanza Kuiona Remix Ya Sura Yako; SAUT SOL Ft Iyanya Kuwa Wa Kwanza Kuiona Remix Ya Sura Yako; SAUT SOL Ft Iyanya Reviewed by habari motto on 2:30 PM Rating: 5

WATU 4 WAUWAWA MOMBASA

7:58 AM

Watu wenye bunduki waliokuwa kwenye pikipiki wamewaua takriban watu wanne katika mji ulioko pwani ya Kenya Mombasa.

Polisi inasema watu hao walikuwa wakifyatua ovyo risasi kwa wapita njia.
Mji huo wa Bandari umeshuhudia ghasia katika miezi ya hivi karibuni huku kukiwepo mashambulio ya mabomu na ufyetuaji wa risasi ambayo wanamgambo wa alshabaab kutoka Somalia wanatuhumiwa kuyatekeleza.
WATU 4 WAUWAWA MOMBASA WATU 4 WAUWAWA MOMBASA Reviewed by habari motto on 7:58 AM Rating: 5

ALSHABAB WAZIDI KUFANYA MAUWAJI, MJI WA PWANI WAVAMIWA

5:48 PM
                   Shambulizi la Alshabaab nchini kenya
Kundi la Alshabaab limekiri kutekeleza shambulizi katika basi moja la abiria katika pwani ya Kenya hapo jana usiku.
 Shirika la msalaba mwekundu limesema kuwa watu saba walipigwa risasi na kufariki huku wengine wengi wakijeruhiwa.
 Shambulizi hilo lilitokea katika mji wa Witu katika Kaunty ya Lamu.
 Watu kadhaa wameuawa katika Pwani ya Kenya katika kipindi cha miezi kadhaa iliopita.
 Kundi la Alshabaab limekiri kutekeleza mauaji hayo.
 Linasema kuwa linalipiza kisasi kuwepo kwa majeshi ya Kenya nchini Somali.
Ghasia hizo zimeathiri pakubwa sekta ya utalii nchini Kenya
ALSHABAB WAZIDI KUFANYA MAUWAJI, MJI WA PWANI WAVAMIWA ALSHABAB WAZIDI KUFANYA MAUWAJI, MJI WA PWANI WAVAMIWA Reviewed by habari motto on 5:48 PM Rating: 5

WAREMBO WOTE WA KENYA KUHAMA MAKAZI..

8:00 AM
Mechi iliyoongelewa na wengi zaidi duniani bado inaendelea kuwa gumzo katika kona mbalimbali za dunia. huko Kenya wakina mama wamekuja na mpya kuizungumzia brazil. Kila mtu anataka kuwa shabiki wa germany sasa baada ya kuwachabanga Brazil bao 7.Ni baadhi ya picha za kufurahisha zilipigwa na watu wa kenya kuiponda Brazil


http://nairobiwire.com/wp-content/uploads/2014/07/bra1.jpg
bra1
WAREMBO WOTE WA KENYA KUHAMA MAKAZI.. WAREMBO WOTE  WA KENYA KUHAMA MAKAZI.. Reviewed by habari motto on 8:00 AM Rating: 5

KWELI DUNIA IMEKWISHA.... ABAKA MTOTO MWENYE MIAKA 4

12:25 PM

Mtoto wa miaka 4 ameripotiwa na madaktari kupooza baada ya kupata maumivu makali yaliyosababishwa na kubakwa.
Mbakaji huyo 46 alipandishwa kizimbani katika mahakama huko nakuru, na kukana mashtaka  na kuachiliwa kwa dhamana ya 200,000 kenyan shillings
Mshitakiwa huyo Vicent Kipkirui Sang alimbaka mtoto huyo tarehe 2 mwezi wa saba  katika kijiji cha Mauche eneo la Njoro. 

mtoto huyo aliyekuwa akicheza na wenzake ndipo mshenzi huyo alipomwingiza nyumbani kwake na kumfanyia vitendo hivyo vya kinyama
Baada ya kukosa nguvu na kushidwa kutembea na maumivu rafiki zake walimweleza mama yake. wananchi wenye hasira kali walishushia kipigo kikali mtuhumiwa kabla ya polisi kuwasili na kumuweka chini ya ulinzi mbakaji huyo
alitibiwa na kuanza kuhojiwa 




KWELI DUNIA IMEKWISHA.... ABAKA MTOTO MWENYE MIAKA 4 KWELI DUNIA IMEKWISHA.... ABAKA MTOTO MWENYE MIAKA 4 Reviewed by habari motto on 12:25 PM Rating: 5

UNAKUMBUKA KUHUSU WESTGATE: NAKUMAT KIDOGO KUTEKETEA TENA

9:06 AM
NAKUMAT BAADA YA KUKUMBWA NA MIKASA KEM KEM IKIWEMO TAWI LAO LA THIKA KUBOMOLEWA KUPISHA UJENZI WA BARABARA 2008, 2009 TAWI LAO LINGINE LILITEKETEA KWA MOTO NA KUUWA WATU 20, 
MWAKA JANA TUU WALIKUBWA NA TUKIO LA UVAMIZI WA MAGAIDI NDANI YA WEST GATE
SIKU YA JANA NUSURA WAPOTEZE  MALI TENA BAADA YA MOTO KUTEKETEZA BAADHI YA VITU KABLA KIKOSI CHA KUZIMA MOTO KUFIKA. MENEJA WA TAWI HILO BWANA JOHNSON MUREITH ALISEMA MOTO ULIANZIA KWENYE OFISI YAKE KABLA YA KUELEKEA KWENYE CHUMBA CHA CCTV, WAFANYAKAZI NA WATEJA WOTE WALINUSURIKA 

eld
eld1eld2
UNAKUMBUKA KUHUSU WESTGATE: NAKUMAT KIDOGO KUTEKETEA TENA UNAKUMBUKA KUHUSU WESTGATE: NAKUMAT KIDOGO KUTEKETEA TENA Reviewed by habari motto on 9:06 AM Rating: 5

PREZZO KUSHAMBULIWA

5:38 PM


NYOTA WA KENYA PREZZO AMEJIKUTA ANSHAMBULIWA NA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUPOST PICHA HIYO HAPO JUU KWENYE MTANDAO WA KIJAMII..
MSANII HUYO ANAYEJULIKANA NA KUJITAMBA KAMA KING OF BLING ALISHAMBULIWA NA  COMMENTS KIBAO  

prezzo254Truly Unruly #Rapcellency

This was not taken lightly by some of his fans who asked him to clean up his room;

president is quit messy..haha look at his room nawao #rapcellency

Lol how old are you prezooo

ona mwezio

PREZZO KUSHAMBULIWA  PREZZO KUSHAMBULIWA Reviewed by habari motto on 5:38 PM Rating: 5

MCHUNGAJI MWINGINE TENA ANASWA NA BINTI MDOGO

11:15 AM

MCHUGAJI HUYO WA KANISA MOJA JIJINI NAIROBI NCHINI KENYA SIKU YA JANA ALINASWA NA BINTI MDOGO KATIKA NYUMBA YA WAGENI

MCHUNGAJI MWINGINE TENA ANASWA NA BINTI MDOGO MCHUNGAJI MWINGINE TENA ANASWA NA BINTI MDOGO Reviewed by habari motto on 11:15 AM Rating: 5

NEW AUDIO; SAUT SOL FT BANANA ZORO- DUA LA KUKU

3:42 PM
IMG-20140704-WA0030
NI WASANII WANAOPAA TOKA ANGA LA KENYA KUJA KUIBURUDISHA NAFSI YAKO KWA NYIMBO YAO MPYA WALIYOFANYA NA MSANII TOKA TANZANIA BANANA ZORO. NYIMBO YENYEWE INAITWA DUA LA KUKU
NEW AUDIO; SAUT SOL FT BANANA ZORO- DUA LA KUKU NEW AUDIO; SAUT SOL FT BANANA ZORO- DUA LA KUKU Reviewed by habari motto on 3:42 PM Rating: 5

KAULI YA ODINGA KUHUSU SHEREHE ZA SABA SABA

11:30 AM

RAILA ODINGA
Chama cha Coalition for Reforms and Democracy ( CORD) kimetangaza kwamba Jumatatu siku ya  Saba Saba  itakuwa wakati muhimu wa kufafanua siasa za nchi. Wakuu wa Umoja wa Waziri Mkuu wa zamani Raila Odinga, aliyekuwa Makamu wa Rais Kalonzo Musyoka na Bungoma Seneta Musa Wetang'ula alisema katika mkutano wa hadhara katika Kisumu Jumamosi kuwa wangeweza kutumia njia ya kikatiba ya kuongoza mabadiliko katika nchi.

 "Mamlaka kuu ni jukumu kwa watu wa Kenya ambayo wanaweza zoezi moja kwa moja au kuweka mtu wao wanataka katika madaraka," Raila alisema. Alisema nchi ilikuwa wanakabiliwa na changamoto kubwa ambayo ni lazima kushughulikiwa pamoja na aliahidi kwamba Saba Saba mkutano wa hadhara itakuwa

amani, na wito kwa wafuasi CORD na Wakenya si kwa hofu. "Mikutano ya kampeni yetu uliopita wamekuwa amani na hatuna nia yoyote kusababisha machafuko siku ya Jumatatu," alisema.

Waziri Mkuu wa zamani kusisitiza kuwa maandamano hayo kuwa jukwaa mashauriano kushirikisha umma juu ya utawala wa nchi hiyo, kinyume na mikutano ya kisiasa moto wao wamekuwa wakifanya nchini kote. "Tutakuwa na wawakilishi kutoka katika sekta mbalimbali nchini ambao sasa changamoto ni inakabiliwa na kupendekeza njia ya kuyatatua," alisema. Wakati huo huo, Raila alisema hawana haja ya usalama katika Uhuru Park kwa sababu hakuna tukio mbaya imeripotiwa katika mikutano ya kampeni yao ya awali.



Serikali imesema kwamba itakuwa kupeleka maafisa wa polisi 15,000 kwa kuimarisha usalama katika mkutano wa hadhara. Musyoka alionya Serikali dhidi ya kusababisha machafuko ya Saba Saba siku na kisha lawama juu ya kamba, akisema mpango huo itakuwa kukwama.
"Uhuru Park itakuwa chini ya uangalizi wa kimataifa. Madhara yoyote yanayosababishwa na Serikali kuharibu kabisa, "Mr Musyoka alisema.
Alichokiita kama kitendo cha uchawi mila ya Ijumaa iliyofanywa na baadhi ya viongozi wa dini katika Uwanja wa Uhuru Park, akisema ni aibu kubwa kwa nchi.
"Wanapaswa kujitakasa, au chochote mbaya wanataka kutokea wakati wa mkutano wa hadhara itakuwa kukwama juu yao," alisema Musyoka.

Wakuu wa muungano alisema kuwa mahakama walikuwa kutumiwa na serikali kuwatishia na onyo kwamba watatu itakuwa kuwajibika katika tukio la vurugu katika mkutano wa hadhara ya Jumatatu.

Wetang'ula alipinga mahakama juu ya maamuzi ambayo tatu itakuwa kuhusishwa na kuwe na machafuko katika mkutano wa hadhara. Aliongeza kuwa ulikuwa ni jukumu la serikali ya kitaifa ili kupata usalama. "Mkaguzi Mkuu ni kulipwa kwa kutoa usalama kwa Wakenya wote, kwa hiyo anapaswa kuwa udhuru," alisema Wetang'ula. "Nchi ina mambo mazito ambayo haiwezi kuachwa mikononi mwa viongozi wa Jubilee peke yake."

rushwa kupindukia
Wakuu CORD alisema Rais Uhuru Kenyatta hakuwa na chaguo bali kukubaliana na kushiriki Upinzani katika mazungumzo ya kujadili masuala muhimu yanayoathiri taifa kama vile ukabila hasi, rushwa kupindukia, gharama kubwa za maisha na ukosefu wa usalama. Raila wito kwa umma kutembea katika maandamano ya Uhuru Park kufanya vitambaa nyeupe kueleza kutoridhika yao na Serikali.

Gem Mbunge Jakoyo Midiwo alisema CORD alikuwa njia nyingi kutumia kama Serikali Jubilee haina mavuno kwa madai yao. "Tutatumia njia nyingine halali kwa sababu watu umoja kamwe kushindwa. Wakati kwa mabadiliko ya kweli ni sasa, "alisema. "Tutakuwa Rangi Saba Saba, Nane Nane Rangi Tisa Tisa (kushinikiza itaendelea) mpaka wao kuruhusu mazungumzo."

Wafuasi Umoja wa kuanza kujipenyeza mkutano wa hadhara ukumbi kwa miguu kama wengine walifika katika boda boda kama mapema kama 20:00. Katika 01:00, viongozi waliochaguliwa ikiwa ni pamoja na magavana, wabunge, na MCAs aliwasili katika ukumbi wa mapokezi ya joto kutoka kwa umma. Na muda mfupi baada ya 3:00, wakuu wa CORD tatu kufika katika helikopta mbili. Wao walifukuzwa moja kwa moja kwa jukwaa. Msemaji baada ya msemaji alisisitiza kwamba bila akapokea mpaka ajenda yao ya kupunguza Wakenya kutokana na mateso ilikuwa na mafanikio.

Raila kushtakiwa umati wa watu pamoja wimbo maarufu nipigwe TEKE wake, sitarudi nyuma (Hata kama mimi mateke chini, mimi si mapumziko). Viongozi walikuwa na wakati mgumu kudhibiti umati wa watu waliimba kupambana na Jubilee itikadi katika mkutano wa hadhara kwamba ulifanyika huku kukiwa na uwepo nzito usalama.
KAULI YA ODINGA KUHUSU SHEREHE ZA SABA SABA KAULI YA ODINGA KUHUSU SHEREHE ZA SABA SABA Reviewed by habari motto on 11:30 AM Rating: 5

HAWA NDIYO MASTAA WANAOJITOLEA ZAIDI

10:53 AM
HII NDIYO LIST YA MASTAA WA KENYA WANAVYOJITOLEA.. NI WAJIBU WA WENGINE PIA KUIGA MFANO WAO NA KUJITOLEA KISAIDIA JAMII YETU

 "Kwa maana maskini hawatakoma katika nchi, kwa hiyo mimi nakuamuru, kusema, Wewe mfumbulie mkono wako pana na ndugu yako, na maskini yako na masikini zako, katika nchi yako." Kumbukumbu 15:11

.HOLY DAVE









.DJ Joe
.Bahati
.Brenda Wairimu
.Jaguar
.Emmy Kosgei





HAWA NDIYO MASTAA WANAOJITOLEA ZAIDI HAWA NDIYO MASTAA WANAOJITOLEA ZAIDI Reviewed by habari motto on 10:53 AM Rating: 5

JOSEPH KOINANGE AZIDI KUPETA

9:00 AM

MWANDISHI WA HABARI JOSEPH KOINAGE AMBAYE NI RAIYA WA KENYA ANAYESIFIKA KWENYE SHUGHULI ZAKE HIZO ZA UANDISHI WA HABARI AMEZIDI KUFAHAMIKA ZAIDI BAADA YA KUWEKWA KWENYE  JARIDA LA DRUM




JOSEPH KOINANGE AZIDI KUPETA JOSEPH KOINANGE AZIDI KUPETA Reviewed by habari motto on 9:00 AM Rating: 5

MTOTO WA RAILA ODINGA AFANYA KUFURU

8:44 AM


NI MTOTO WA RAILA ODINGA AMBAYE ALIWAACHA WATU MIDOMO WAZI BAADA YA KUINGIA KWENYE SHUGHULI ZA SABA SABA NA HELIKOPTER (CHOPPER) NA ULINZI MKALI SANA. ALIONGOZANA NA COMEDIAN JALANGO. WATU WENGI WALIDHANI NA GOVERNOR WA ENEO HILO LA AMCHAKOS LAHH HASHA ALIKUWA NI MTOTO WA RAILA ODINGA FIDEL ODINGA
TISHET ALIYOIVAA ILIKUWA NA MANENO HAYA "JALUO GOT SWAG"


MTOTO WA RAILA ODINGA AFANYA KUFURU MTOTO WA RAILA ODINGA AFANYA KUFURU Reviewed by habari motto on 8:44 AM Rating: 5

YULE MDADA MWENYE UMBO ZURI KENYA NZIMA ASEMA YA MOYONI NDANI YA BBC

8:22 AM


MWANADADA VERA SIDIKA AMBAYE NI MTU MAARUFU NCHINI KENYA KUTOKANA NA UMBO LENYE KUWAWEKA WATU WENGI MIDOMO WAZI NA PIA KUJICHUBUA NA KUJUITANGAZA AMEONEKANA OFFICE ZA BBC JIJINI NAIROBI .. NDANIA YA BBC ALIPATA INTERVIEW CLICK HAPO CHINI PLAY AKUIONA 




YULE MDADA MWENYE UMBO ZURI KENYA NZIMA ASEMA YA MOYONI NDANI YA BBC YULE MDADA MWENYE UMBO ZURI KENYA NZIMA ASEMA YA MOYONI NDANI YA BBC Reviewed by habari motto on 8:22 AM Rating: 5

BARUA YA ODINGA KWA MWANASHERIA MKUU IKO HAPAA..

11:05 PM
BARUA YA ODINGA KWA MWANASHERIA MKUU IKO HAPAA.. BARUA YA ODINGA KWA MWANASHERIA MKUU  IKO HAPAA.. Reviewed by habari motto on 11:05 PM Rating: 5

HALI NI TETE NCHINI KENYA

9:09 AM
HALI TETE NCHINI KENYA. NI KUHOFIA GHASIA ZITAKAZOTOKEA SIKU YA SABA SABA . NI BAADHI YA PICHA ZIKIONYESHA WATU WANA VYOHAMA ENEO LA NAIVASHA


HALI NI TETE NCHINI KENYA HALI NI TETE NCHINI KENYA Reviewed by habari motto on 9:09 AM Rating: 5

HUU NDIYO USAFIRI WA MTOTO WA KALONSO MUSYOKA

8:59 AM
Mojawapo ya familia ya viongozi wa Kenya ambayo familia yake haijazagaaa mitandaoni ni familia ya Mh.kalonzo musyoka ambaye alikuwa makamu wa raisi wa kenya 

Siku za karibuni mwanae wa kiume ambaye pia ni Mwanamuziki ameanza ku make headline. na tukiongelea hayo wengi tutajiuliza je anatumia usafiri ganiii
Huuu ndiyo usafiri anaoutumia  Klein









HUU NDIYO USAFIRI WA MTOTO WA KALONSO MUSYOKA HUU NDIYO USAFIRI WA MTOTO WA KALONSO MUSYOKA Reviewed by habari motto on 8:59 AM Rating: 5

RUTO AMTUHUMU RAILA

9:30 PM

Makamu mkuu wa raisi wa kenya Mh. William Ruto amemtuhumu Mh.Raila  Odinga kwa kuandaa watu wa kufanya fujo katika siku ya madhimisho ya saba saba yatakayofanyika uhuru park
Mh Ruto aliyasema hayo alipoongea na kituo cha habari cha citizen siku ya jumanne.

serikali haitokubali vitisho kutoka kwa upinzania. tutakuwa imara .. alisema ruto

RUTO AMTUHUMU RAILA RUTO AMTUHUMU RAILA Reviewed by habari motto on 9:30 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.