ZIARA YA MH RAISI KIKWETE MIKOANI: AZINDUA RASMI NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC SONGEA JANA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi nyumba zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa NHC huko Mkuzo, wilayani Songea mjini mkoani Ruvuma leo. Kutoka kushoto ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Waziri wa Ardhi Nyumba na Makazi Prof.Anna Tibaijuka, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Bwana David Misonge Shambwe, na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Bwana Said Mwambungu.
 Picha na Freddy Maro.
ZIARA YA MH RAISI KIKWETE MIKOANI: AZINDUA RASMI NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC SONGEA JANA ZIARA YA MH RAISI KIKWETE MIKOANI:  AZINDUA RASMI NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU ZA NHC SONGEA JANA Reviewed by habari motto on 12:06 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.