Wachezaji wa Arsenal wakipiga picha na ngao yao baada ya kuiangukia Manchester City goli 3 kwa 0 ndani ya uwanja wa taifa Wembley huko UK.