MABINGWA wa England, Manchester City wamepangwa kundi moja na mabingwa wa
Ujerumani, Bayern Munich katika Ligi ya Mabingwa Ulaya pamoja na CSKA Moscow na
Roma, wakati Liverpool wao wamepangwa na mabingwa watetezi, Real Madrid.
Mabingwa mara tano Ulaya, Liverpool mbali na kupangwa na mabingwa mara 10 wa taji
hilo, Real pia wapo na Basle na Ludogorets.
Arsenal, imepangwa na Borussia Dortmund pamoja na Galatasaray na Anderlecht katika
Kundi D, wakati Chelsea imepangwa na imepangwa na wakali wengine wa Ujerumani,
Schalke, Sporting Lisbon na Maribor.
HAYA NDIO MAKUNDI EUFA CHAMPIONS LEAGUE
Reviewed by habari motto
on
1:28 PM
Rating: