HUYU NDIYE ALIYETIMULIWA NA TIMU YA SIMBA SPORTS CLUB

Simba imemtimua kocha wake, Zdravko Logarusic ikiwa ni siku moja tu baada ya kufungwa mabao 3-0 na Zesco ya Zambia.Loga anatuhumiwa kuzozana na wachezaji mara baada ya mechi akiwatuhumu kuonyesha kiwango duni.Uongozi wa Simba umechukua uamuzi huo baada ya kikao cha takribani masaa matano.

Tayari Simba imeanza kufanya maarifa ya kumpata kocha mpya.
HUYU NDIYE ALIYETIMULIWA NA TIMU YA SIMBA SPORTS CLUB HUYU NDIYE ALIYETIMULIWA NA  TIMU YA SIMBA SPORTS CLUB Reviewed by habari motto on 1:49 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.