Wakati Liverpool walimuona hana afya njema kwa kufeli vipimo vya afya, Chelsea imemsajili mshambuliaji Loic Remy raia wa Ufaransa.
Remy kutoka QPR ametua Chelsea kwa mkataba wa miaka minne wenye thamani wa pauni milioni 8.
Chelsea imemsajili Mfaransa huyo huku Arsenal ikiwa katika hatua za mwisho kumnasa, lakini wapi
CHELSEA YAMNASA, MNYONGE WA LIVERPOOL
Reviewed by habari motto
on
8:51 AM
Rating: