Manchester United wamethibitisha kumsajili Daley Blind kwa pauni milioni 14. Amesaini mkataba wa miaka minne,na kuwa na uwezekano wa kuongeza mkataba huo zaidi.
Manchester United have signed Daley Blind for £14million from Dutch club
Ajax
MAN UTD WAKAMILISHA USAJILI WA DALEY BLIND RASMI
Reviewed by
habari motto
on
12:54 AM
Rating:
5