

Ni jambo la kujivunia kwa huyu msichana mdogo Malala Yousafzai. Binti wa Pakistan aliyepigwa risasi na waasi wa Taliban Mwaka 2012 kwa kutetea haki za wanawake ili kupata elimu katika nchi yake, Ametangazwa kama mshindi wa tuzo ya Amani ya Nobel 2014 ...lakini yeye anashirikiana pamoja na mtu mwingine, Kailash Satyarthi, mwanaharakati wa haki za watoto nchini INDIA. Yeye amekuwa na kazi katika harakati dhidi ya ajira kwa watoto nchini India. Wamepata dolla za kimarekani Million $ 1.1. Hakika wanastahili
Ashinda Tuzo ya Amani ya Nobel 2014
Reviewed by habari motto
on
12:53 PM
Rating:
Reviewed by habari motto
on
12:53 PM
Rating: