Auawa Kwa Kuchijwa

 

 Taarifa zilizoufikia mtandao huu na kuthibitishw ana baadhi ya watu ni kwamba, kumetokea tukio la mauaji la mwendesha pikipiki maarufu kama bodaboda mjini Morogoro, ameuawa kwa kuchinjwa na kutobolewa mwili wake. Watoa taarifa wanasema tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Msamvu Pepsi.
  Taarifa zaidi tutawaletea kila tutakavyozipata. Endelea kufwatilia

Auawa Kwa Kuchijwa Auawa Kwa Kuchijwa Reviewed by habari motto on 1:46 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.