Lori la mafuta likiteketea kwa moto mara baada ya kugonga ngUzo ya umeme huko Handeni mkoani Tanga leo.Wananchi wakishuhudia moto mkubwa uliozuka katika ajali hiyo.
Ajali Mbaya Yatokea, Lori La Mafuta Lateketea Moto
Reviewed by habari motto
on
1:50 PM
Rating: 5