BREAKING NEWS: Patrick Phiri, Seleman Matola Wafukuzwa Kazi Simba SC


Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri.
Aliyekuwa Kocha msaidizi, Selemani Matola (kushoto) akifuatilia mazoezi.
Klabu ya Simba imewafukuza kazi Kocha Patrick Phiri raia wa Zambia na msaidizi wake Selemani Matola kutokana na matokeo mabaya ya timu.
BREAKING NEWS: Patrick Phiri, Seleman Matola Wafukuzwa Kazi Simba SC BREAKING NEWS: Patrick Phiri, Seleman Matola Wafukuzwa Kazi Simba SC Reviewed by habari motto on 2:08 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.