Bust Ryme Aangukia Mashabiki Akiwa Jukwaani

BustaRhymes-Cut
Rapper Busta Rhymes ameanguka akiwa jukwani kwenye show ya muziki mjini New York. Busta alikuwa msanii aliyealikwa kwenye show hio iliyofanyika Webster Hall alikuwa ameinama kusalimia mashabiki na ghafla akapoteza balansi na kuangukia watu, alivyoinuka alikuwa na damu kichwani na usoni huku jeraha likionekana kuhitaji kushonwa.
Baada ya dakika checha alirudi jukwanii na kuendelea na show.
 1128-busta-rymes-falls-off-stage-wm-3
Bust Ryme Aangukia Mashabiki Akiwa Jukwaani Bust Ryme Aangukia Mashabiki Akiwa Jukwaani Reviewed by habari motto on 8:30 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.