Big Brother Africa: Mshiriki wa Tanzania Afanikiwa kuingia Fainali za Mashindano haya.......Washiriki wanne jana waliondolewa


Habari ikufikie kutoka ndani ya jumba la Big Brother Africa #BBA9_Hotshots kwamba November 30 2014, washiriki wengine Wanne wametolewa kwenye jumba hilo na kufanya game iendelee kunoga.
Goitse mshiriki wa kutoka Botswana, Ellah mwakilishi kutoka Uganda, Sheillah mwakilishi wa Botswana na Trezagah kutoka Msumbiji ndio washiriki walioyaaga haya mashindano Novemba 30 2014.
Idadi ya washiriki waliobakia ni nane tu akiwemo Idris kutoka Tanzania ambapo kwa mujibu wa ukurasa wa Big Brother matumaini yaliyopo ni kwamba ikiwa msimamo wa kura ukiendelea poa kama hali ilivyo huenda neema ikawa kwa mshiriki huyo kurudi na ushindi.

Big Brother Africa: Mshiriki wa Tanzania Afanikiwa kuingia Fainali za Mashindano haya.......Washiriki wanne jana waliondolewa Big Brother Africa: Mshiriki wa Tanzania Afanikiwa kuingia Fainali za Mashindano haya.......Washiriki wanne jana waliondolewa Reviewed by habari motto on 9:06 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.