Mastaa mbalimbali kama wanavyoonekana wakiwa Location kwenye filamu hiyo mpya ya msanii Manaiki Sanga the Don iitwayo Wake Up , Zaidi ya wasanii 30 Mastaa wameshiriki kucheza
Mastaa nyota wa filamu nchini Irene Uwoya na Hemed Suleiman kama wanavyoonekana wakiigiza filamu hiyo ya Wake Up huko Mkoani Morogoro
Jackline Wolper vs Irine Uwoya ambao wamechuana vikali ndani ya filamu hiyo ya Wake Up ya msanii Manaiki Sanga " The Don"
Flora Mvungi na Mama Abdul wakiwa mzigoni kumalisha sehemu ya filamu hiyo ya kwanza nchini Tanzania kuchezeswa mastaa zaidi ya 30 pamoja haijawahi tokea
Hii Ndiyo Filamu Ya Kibongo Iliyotikisa, Yahusisha Mastaa Wengi
Reviewed by habari motto
on
11:48 AM
Rating: