Kajala Awachana Waliokosoa Picha Zake, Eti Hazina Maadili


Mwigizaji wa filamu mwenye umbo la Kiafrika zaidi, Kajala Masanja aliamua kuwatolea uvivu
 baadhi ya mashabiki wachache ambao walikuwa wakimshabulia kwa –comments kuwa picha hizi
 alizoziweka mtandaoni akiwa ufukweni, hazina maadili kwasababu amevaa nguo ambazo 
zinaonyesha sehemu kubwa ya mwili wake.
Baada ya mjadala wa picha zake kupamba moto huku wengine wakiona zipo sawa na wachache 
wakisema kuwa hazina maadili, Kajala aliingilia kati na kufafanua kuwa picha hizo alipiga wakati
 akiwa ufukweni nasio yupo mitaani anaembea.
“Niko beach jamani siko posta natembea maana mna maneno ya chini chini humu” 
Kajala alisistiza
Picha hizi alizitupia juzi, siku ya sikukuu ya  mwaka mpya. Jionee picha hizo hapo juu 
kiwasha tuambie umeziona vipiii



Kajala Awachana Waliokosoa Picha Zake, Eti Hazina Maadili Kajala Awachana Waliokosoa Picha Zake, Eti Hazina Maadili Reviewed by habari motto on 11:54 AM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.