Kamanda Kova: Wananchi wanapaswa kuondoa hofu, ‘Panya Road’ tunawadhibiti. Via: #TBC1.
— millardayo.com (@millardayo) January 2, 2015
#Kamanda Kova: Habari zilizovuma ni kubwa kuliko ukubwa wa tatizo lenyewe. Kikundi cha ‘Panya Road’ kipo, tunaendelea kuwashughulikia. Via: #TBC1
— millardayo.com (@millardayo) January 2, 2015