Hizi Ndizo Nyimbo 5 Mpya Za Mwaka 2015 Alizotoa Akon

Baada ya ukimya wa muda mrefu Akon ameachia nyimbo tano mpya kutoka kwenye album yake mpya anayotarajia kuitoa iitwayo “Stadium” ambayo itakuwa na nyimbo za genre tano tofauti.Akon
Akon ameachia nyimbo hizo kupitia website yake Akon.comAlbum ya “Stadium” itakuwa na album tano ndani yake na kila moja itawakilisha genre moja ambazo ni Euro, Pop, Island, Urban, World.Katika nyimbo tano alizoachia tunapata wimbo mmoja kutoka kwenye kila genre iliyotumika.
Nyimbo hizo ni “Better Feat Niko The Kid”, “To Each His Own”, “Whole Lot”, “Just A Man Feat Stephen Marley” Na “Feeling A Nikka Feat D’banje”.

Hizi Ndizo Nyimbo 5 Mpya Za Mwaka 2015 Alizotoa Akon Hizi Ndizo Nyimbo 5 Mpya Za Mwaka 2015 Alizotoa Akon Reviewed by habari motto on 6:16 PM Rating: 5
ads 728x90 B
Powered by Blogger.